Current News & Update
Tunapenda kukutaarifu kuwa siku ya Jumamosi tarehe 03.05.2025 kuanzia saa mbili asubuhi itakuwa ni siku ya DUA -SALA kwa ajili ya watoto wetu wa kidato cha sita wanaotarajia kuanza mtihani wao wa Taifa siku ya Jumatatu tarehe 05.05.2025.
Your Feedback [Maoni yako]
For Quick reply type here your phone number
[ Kwa majibu ya haraka weka namba ya simu ]
Post Feedback
Back Home